Nyota wa Simba waliokuwa Stars waiwahi Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Sep 2019
Nyota wa Simba waliokuwa Stars waiwahi Mtibwa Sugar

Wachezaji saba wa Simba waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', wamerejea kikosini leo kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar

Simba itacheza na Mtibwa Sugar siku ya Ijumaa, mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Beno Kakolanya, Gadiel Michael, Haruna Shamte, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Jonas MKude na Hassan Dilunga walikuwa sehemu ya kikosi cha Stars kilichotinga hatua ya makundi kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Patrick Aussems amesema kurejea mapema kwa wachezaji hao ni habari njema kwa kikosi chake kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Kiungo Francis Kahata anatarajiwa kuwasili leo wakati Meddie Kagere huenda akarejea siku ya Alhamisi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’