Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi August 2019
Kagere ametwaa tuzo hiyo kwa kuwashinda Lucas Kikoti wa Namungo Fc na Seif Karihe wa Lipuli
Kwenye mwezi huo wa nane, Kagere alifunga mabao mawili katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom ambao Simba ilishinda kwa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania
Tuzo ya kocha bora imekwenda kwa Salum Mayanga aliyeiongoza Ruvu Shooting kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga
ADVERTISE HERE