Kilio cha mashabiki kimesikika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2017
Kilio cha mashabiki kimesikika
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano klabu ya Simba, Haji Manara amesema uongozi umesikia kilio cha mashabiki wake na unasubiri wakati muafaka kufanya maamuzi magumu.

Manara kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram amewataka mashabiki watulie wakati mapendekezo yao yakifanyiwa kazi.

Kwa muda mrefu mashabiki wa simba wamekuwa wakihoji uwezo wa kocha Joseph Omog hasa utaratibu wake wa upangaji wa kikosi cha Simba kilichosheheni wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kusakata kabumbu.

Tayari Bosi wa Simba, Mohammed Dewji 'MO' amemtaka kocha Omog ajitafakari kufuatia Simba kuondoshwa kwenye hatua za awali kombe la FA.

MO amesema ingawa kwa sasa hana mamlaka ya maamuzi kwenye klabu ya Simba, lakini kama Mwanachama na Mshabiki wa Simba amemtaka kocha Joseph Omog ajiuzulu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
34m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’