Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kupigwa uwanja wa Uhuru Septemba 17, umerudishwa nyuma na sasa utapigwa Septemba 13, siku ya Ijumaa kwenye uwanja wa Uhuru
Uongozi wa Simba umethibitisha kupokea taarifa za mabadiliko hayo yaliyofanywa na Bodi ya Ligi
Baada ya mchezo huo, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Lipuli Fc, Septemba 22 nao ukipigwa uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE