Ushindi wa mikwaju ya penati 3-0 dhidi ya Burundi umeihakikishia Tanzania kukata tiketi ya kucheza hatua ya makundi kuwania tiketi ya michuano ya kombe la dunia itakayofanyika Qatar 2022
Gift Macha na Haji Manara walikuwa sehemu ya timu ya uhamasishaji ya Stars kuelekea mchezo huo
Macha ndiye aliyekabidhiwa kitengo cha Habari Simba huku Manara akiendelea na majukumu ya usemaji na uhamasishaji
Wawili hao wameonyesha kutokuwa na tofauti yoyote
ADVERTISE HERE