Manula aongeza mzuka Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Sep 2019
Manula aongeza mzuka Stars

Mlinda lango wa Simba Aishi Manula jana alitembelea kambi ya kikosi cha Stars kuwapa hamasa wenzake kuelekea mchezo dhidi ya Burundi leo

Manula hakujumuishwa kwenye kikosi hicho kutokana na majeraha yaliyokuwa yamemuweka nje kwa wiki tatu

Jana alitimba kambi ya Stars Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam kuwapa moyo wachezaji ambao leo watapeperusha bendera ya Tanzania

Mchezo wa leo utaamua timu gani inakwenda hatua ya makundi, Stars ikihitaji matokeo ya ushindi au suluhu ya bila kufungana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’