Sasa unaweza kusema ni suala la muda tu Simba itakamilisha ujenzi wa viwanja vyake Bunju baada ya kupokea awamu ya pili ya mzigo wa nyasi bandia
Nyasi hizo zitatandikwa kwenye moja ya viwanja hivyo viwili

Simba itakuwa na viwanja viwili Bunju, kimoja cha nyasi asili na kingine kitatandikwa nyasi hizo bandia
Tayari kiwanja chenye nyasi asili, nyasi zake zinaendelea kushamiri
Uongozi wa Simba umepanga kuanza kuvitumia viwanja hivyo mwezi ujao
ADVERTISE HERE