Sababu ya 'Mo' kuondolewa kikosini jana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
23 Dec 2017
Sababu ya 'Mo' kuondolewa kikosini jana
Jana kiungo wa Simba Mohamed Ibrahim ‘Mo’ aliondolewa kwenye kikosi kilichoivaa Green Warriors katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam Sports kutokana na kuwa na kadi.

Mo alionyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam FC msimu uliopita.

Hata hivyo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 kisha Green Worriors kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati.

Baada ya kuondoshwa kwenye michuano hiyo, Simba sasa inalazimika kuhakikisha inatwaa ubingwa wa VPL ili kupata nafasi ya kushiriki michunao ya Kimataifa msimu ujao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →