Tanzania yapania kumaliza kazi uwanja wa Taifa Sept 08

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Sep 2019
Tanzania yapania kumaliza kazi uwanja wa Taifa Sept 08

Baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Burundi jana, kikosi cha Stars kinarejea leo kujiwinda na mchezo wa marudiano ambao utapigwa uwanja wa Taifa Jumapili, Septemba 08

Stars inahitaji kushinda mchezo huo au matokeo ya suluhu ya bila kufungana pia yatatosha kuivusha hatua ya makundi

Kuelekea mchezo huo, Kamati ya uhamasishaji ambayo inaongozwa na msemaji wa Simba Haji Manara, watakuwa na Mkutano na Wanahabari kesho

Mkutano huo pia utahudhuriwa na Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao, wasanii na watu mbalimbali wenye ushawishi

Mkutano utafanyika Hoteli ya Sea Clif jijini Dar es salaam

Ajenda kuu ya Mkutano huo ni kuhakikisha mashabiki wanajitokeza kuujaza uwanja wa Taifa Septemba 08, na kuhakikisha Stars inapata matokeo ya kuipeleka hatua ya makundi kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’