Simba yamalizana na Lipuli FC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2017
Simba yamalizana na Lipuli FC
Wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa leo Disemba 23, klabu ya Simba imemalizana na Lipuli FC kuhusu mlinzi Asante Kwasi, raia wa Ghana.

Uongozi wa Lipuli umethibitisha kumalizana na Simba baada ya kulipwa Mil 25.

"Tumekubali kumwachia Kwasi kwa kiasi cha shilingi 25 milioni, jana ilipokelewa ofa ktoka Simba tukakaa kamati ya utendaji na kukubaliana kumwachia mchezaji akaitumikie klabu ya Simba," alifunguka Mwenyekiti wa Lipuli FC

"Kwasi kazi yake ni mpira na anamalengo yake binafsi, tumeamua kumwachia ili aende sehemu ambayo huenda akatimiza ndoto zake" Mwenyekiti wa Lipuli Ramadhani Mahanoamethibitisha.

"Lipuli lengo letu ni kukuza vipaji, mchezaji anaweza akabaki kuendelea kuichezea klabu hii au akaenda kucheza sehemu nyingine."
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’