Timu ya Taifa ya Rwanda imejiweka katika nafasi nzuri ya kupata nafasi ya kucheza makundi kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuifumua Shelisheli mabao 3-0
Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere ameendelea na moto wake wa kuzifumania nyavu, akifunga moja ya mabao ya Rwanda iliyoanzia ugenini
Matokeo hayo yanaufanya mchezo wa pili utakaopigwa nchini Rwanda uwe wa kukamilisha ratiba tu kwani utakuwa muujiza kwa Shelisheli kupindua matokeo ya 3-0 ugenini
ADVERTISE HERE