Salamba atambulishwa Al Jahra Sc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Sep 2019
Salamba atambulishwa Al Jahra Sc

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba Adam Salamba amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Al Jahra Sc ya Kuwait

Salamba amesaini mkataba wa miaka mitano kuitumikia klabu hiyo

Mchezaji huyo amefanikiwa kujiunga na Al Jahra baada ya makubaliano kufikiwa baina ya timu hiyo na Simba

Salamba alikuwa bado na mkataba wa mwaka mmoja na Simba na kabla ya kupata fursa hiyo alikuwa ametolewa kwa mkopo klabu ya Namungo Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’