Kila la kheri Stars huko Burundi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Sep 2019
Kila la kheri Stars huko Burundi

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', leo saa kumi jioni kitashuka kwenye uwanja wa Intwari kuumana na wenyeji wao Burundi katika mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia

Stars iliwasili Burundi jana ambapo jioni ilifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja huo

Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo utapigwa uwanja wa Taifa, Septemba 08

Ushindi au matokeo ya sare yataiweka Stars katika nafasi nzuri, muhimu ni kuhakikisha inashinda mchezo wa nyumbani

Mshindi wa jumla atajihakikishia kucheza hatua ya makundi kusaka moja ya nafasi tano za ukanda wa Afrika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’