Uzalendo mwisho Azam Fc, wengine wapambane na hali yao - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Sep 2019
Uzalendo mwisho Azam Fc, wengine wapambane na hali yao - Manara

Kabla ya michezo ya kuhitimisha hatua ya awali michuano ya CAF, Msemaji wa Simba Haji Manara alikuwa mstari wa mbele kuwahamasisha mashabiki kuziunga mkono timu zote za Tanzania zinazoshiriki michuano hiyo yaani Azam Fc, KMC, Simba na Yanga

Lakini cha kushangaza kwenye mchezo kati ya Simba dhidi ya UD Songo, mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuiunga mkono Songo

Tukio hilo limemuiba tena Manara ambaye sasa amesema mashabiki wa Simba ruksa kuiunga mkono timu yoyote itakayokuja kucheza na Yanga, suala la uzalendo litabaki kwa Azam Fc tu!

"Wanasimba nawaomba radhi sana kuwaambia msiwashangilie wageni katik amechi zao ,wao wakawashangilia UD Songo"

"Sasa dini yangu inaruhusu kisasi hasa kwa watu wanaorejea kila siku makosa"

"Zesco nyie njooni bila mashabiki,huku mtatukuta tumejaa kuliko pishi ya mchele"

"Pa kufikia tushawaandalia!!, Yes uzalendo mwisho Azam fc"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’