Wilker kurejea kikosini baada ya wiki tatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Sep 2019
Wilker kurejea kikosini baada ya wiki tatu

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mshambuliaji Wilker Da Silva atarejea kikosini baada ya wiki tatu

Mashabiki wa Simba bado hawajapata nafasi ya kumuona mshambuliaji huyo akiwa uwanjani

Alipata majeraha Afrika Kusini wakati Simba ikijiandaa na msimu mpya

"Wilker atakuwa nasi baada ya wiki tatu, nafikiri tunaweza kumtumia kuanzia mechi ya tatu," amesema

"Kwa sasa tuna mshambuliaji mmoja tu (Kagere) baada ya Bocco, kuumia, kurejea kwake litakuwa jambo jema kwetu"

Jana Aussems aliwapa wachezaji mapumziko ya siku tatu, wakitarajiwa kurejea mazoezini Alhamisi, Septemba 05 2019

Kikosi cha Simba kilibaki na wachezaji 11 tu baada ya wachezaji tisa kuondoka kujiunga na timu za Taifa

Aidha kiungo Sharaf Shiboub nae alipata majeraha madogo juzi hivyo kushindwa kushiriki mazoezi ya mwishoni mwa wiki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’