Manara akerwa na kipigo cha Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2017
Manara akerwa na kipigo cha Simba
Baada ya Simba kutolewa kwenye michuano ya kombe la FA na timu ya daraja la pili, Green Worriors, Mkuu wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano Haji Manara ameibuka na kusema Simba leo imewatia aibu mashabiki wake zaidi ya Mil 20.

Manara akizungumza kwa uchungu amesema siku ya leo ndio siku mbaya zaidi kwake tangu aanze kuitumikia klabu ya Simba.

"Shame!! Aibu!!!Fedheha!!! Haivumiliki!!!Tumewakera fans wetu zaid ya twenty millions... nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba..AIBU YA MWAKA"

Simba ikicheza bila nyota wake Haruna Niyonzima, James Kotei na Emanuel Okwi ilionyesha kiwango kibovu kabisa.

Green Worriors ilishinda kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’