Tairone amuweka Wawa kwenye wakati mgumu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Sep 2019
Tairone amuweka Wawa kwenye wakati mgumu

Kiwango kilichoonyeshwa na beki Tairone Da Silva kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya JKT Tanzania, kimewaibua wadau wakitaka kocha Patrick Aussems amtumie nafasi ya Paschal Wawa

Tairone na kiraka Gerson Fraga walicheza vizuri kwenye mchezo huo ambao Simba ilishinda kwa mabao 3-1

Kwa siku za karibuni Wawa amekuwa akilaumiwa kwa kucheza chini ya kiwango, wengi wakiamini ni wakati sasa wa kocha Aussems kumuamini beki huyo mrefu kutoka Brazil

Tairone alikuwa bora kwenye mchezo dhidi ya JKT Tanzania, kama atapewa nafasi zaidi, atazoeana na wenzake kwa haraka

Kwa sasa Wawa ni majeruhi, lakini huenda akarejea kikosini baada ya wiki mbili za mapumziko kupisha michezo ya kalenda ya FIFA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’