Nyota saba wa Simba tayari wameripotia kambini kuungana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Burundi
Mchezo utakaopigwa Septemba 04, nchini Burundi, ni wa kwanza kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi ili kupata tiketi ya michuano ya kombe la dunia itakayofanyika Qatar 2022
Beno Kakolanya, Shomari Kapombe, Gadiel Michael, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Jonas Mkude na Hassan Dilunga wote wamejumuishwa kwenye kikosi hicho
Baada ya mchezo huo wa Burundi, timu hizo zitarudiana jijini Dar es salaam, Septemba 08 2019
ADVERTISE HERE