Simba yatolewa kombe la FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2017
Simba yatolewa kombe la FA
Simba imeondoshwa kwenye michuano ya kombe la FA baada kushindwa kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia kulazimishwa sare ya bao 1-1 na timu ya daraja la pili Green Worriors katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi.

Green Worriors ilitanguliwa kupata bao la uongoza kupitia kwa Hussein Bunu kwenye dakika ya 43. Nahodha wa Simba John Bocco aliisawazishia timu yake kupitia mkwaju wa penati kwenye dakika ya 50.

Hadi dakika 90 zinamalizika mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 hivyo mshindi kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati.

Simba haikuwa kwenye kiwango chake kilichozoeleka na hakika vijana wa Green Worriors walistahili ushindi kwani walitoa upinzani mkali kwa mabingwa hao watetezi.

Green Worriors imesonga mbele kwenda raundi ya tatu ya michuano hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’