Aussems kuwapa nafasi Wabrazil leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Aug 2019
Aussems kuwapa nafasi Wabrazil leo

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema leo atakifanyia mabadiliko madogo kikosi chake kitakachoivaa JKT Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Akizungumza baada ya mazoezi ya mwisho jana, Aussems alisema beki Tairone Da Silva na kiraka Gerson Fraga wanatarajiwa kuanza mchezo wa leo

Aidha mshambuliaji Wilker Da Silva yeye bado ni majeruhi hivyo hatakuwa kwenye kikosi cha leo

Aussems amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo na kuwataka wachezaji wake kuhakikisha wanashinda mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’