Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi kwenye uwanja wa Uhuru
Huo utakuwa mchezo wa kwanza kwa Simba tangu ilipoondoshwa michuano ya ligi ya mabingwa
Ni mchezo ambao wachezaji wamepania kumaliza machungu ya kuondoshwa kwenye michuano hiyo
Baada ya mazoezi ya siku mbili, ari za wachezaji zinaonekana ziko juu, tayari kwa mchezo huo



ADVERTISE HERE