Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja wa Uhuru
Wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja baada ya mchezo dhidi ya UD songo




ADVERTISE HERE