Tutaonyesha ukubwa wa Simba kwenye ligi - Miraji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Aug 2019
Tutaonyesha ukubwa wa Simba kwenye ligi - Miraji

Winga wa Simba Miraji Athumani amewataka mashabiki wa timu hiyo kusahau matokeo ya mchezo wa ligi ya mabingwa na waiunge mkono timu yao ili iweze kufanya vizuri kwenye ligi na michuano ya kombe la FA

Miraji ndiye aliyesababisha mkwaju wa penati ulioisaidia Simba kusawazisha bao kwenye dakika ya 86 likiwekwa kambani na mkongwe Erasto Nyoni kwenye mchezo dhidi ya UD Songo

Amesema matokeo hayo yamewaumiza lakini ndio soka lilivyo, kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni

"Tuna kikosi imara, naamini tutarejea tukiwa na nguvu zaidi msimu ujao," amesema

"Kwa sasa tunaelekeza nguvu zetu kwenye ligi ili tujihakikishiea nafasi ya kushiriki michuano hiyo msimu ujao"

"Kama mchezaji siamini katika kuvunjwa moyo na matokeo badala yake yananifanya kujipange vyema ili kuja kufanya kitu kikubwa kwenye michuano ambayo ipo mbele yetu, tunaenda kuanza ligi kuu Bara sasa huko ndiko tutakakoenda kuonyesha tuna nini kwa msimu huu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’