Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya KMC dhidi ya Azam Fc kupigwa kwenye uwanja wa Uhuru
Timu hizo zilikuwa na majukumu ya michuano ya CAF mwishoni mwa wiki
Mabingwa watetezi Simba, watashuka kwenye uwanja huo (Uhuru) keshokutwa Alhamisi kuchuana na JKT Tanzania
Mchezo mwingine kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting utapigwa kesho
ADVERTISE HERE