TAARIFA
Samahani kwa Wanahabari, ule Mkutano uliokuwa ufanyike leo Serena Hotel, umeahirishwa baada ya dharura iliyotokea ambayo ipo nje ya uwezo wetu
Tutawaarifu kitakachojiri
Haji Manara
ADVERTISE HERE