Aussems aahidi 'kukomaa' na mataji yote yaliyobaki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Aug 2019
Aussems aahidi 'kukomaa' na mataji yote yaliyobaki

Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, kikosi cha Simba kimebaki na michuano mikubwa miwili, kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo pamoja na michuano ya kombe la FA

Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya mchezo dhidi ya UD Songo ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1, kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alisema wataweka mkazo kwenye mashindano yote yaliyobaki

"Malengo yetu kwa sasa ni kufanya vizuri kwenye mashindano yote kuanzia Ligi Kuu, kombe la FA na mingine ambayo tutashiriki," alisema

Ujumbe huo wa Aussems unamaanisha yale masihara kwenye michuano ya kombe la FA hayatakuwepo

Kwa misimu miwili iliyopita, Simba haikuwekea uzito michuano hiyo ambayo bingwa wake anashiriki kombe la Shirikisho

Aidha msimu ujao inaweza kutokea nafasi nne za kimataifa kupunguzwa tena kama timu za Yanga na Azam Fc zitashindwa kufanya vizuri

Hivyo kwa Simba kuwekea mkazo mataji yote mawili ni uamuzi sahihi zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’