Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara, kesho Jumanne saa sita kamili mchana atazungumza na waandishi wa habari katika Mkutano utakaofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam
Kulingana na taarifa aliyoitoa Manara mapema leo, Mkutano huo pia utakuwa Mbashara kupitia Azam Tv pamoja na mitandao ya kijamii
"Kesho Jumanne tarehe 27/8/2019 Saa sita kamili mchana,Kwenye hoteli ya nyota tano ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es Salaam,nitaongea na Wanahabari za michezo," imesema taarifa ya Manara
"Mkutano huo utafanyika Kwenye ukumbi wa Kivukoni three uliopo ndani ya hoteli hiy"
"Mkutano huo utarushwa live na @azamtvtz kupitia Azam sports two na pia Kwenye Page zangu za Social Media"
ADVERTISE HERE