Ajib atawafunga midomo wote wanaomkejeli

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Aug 2019
Ajib atawafunga midomo wote wanaomkejeli

Ujio wa Ibrahim Ajib Simba ni kutokana na kiwango kizuri alichoonyesha Yanga na bila shaka ataisaidia Simba kuendelea kushinda mataji msimu huu

Baadhi ya mashabiki wasioitakia mema Simba wanawaaminisha wale wenye imani ndogo kuwa Ajib kaleta mkosi Simba

Ajib hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza jana, hivyo sidhani kama ni sahihi yeye kuhusishwa na matokeo ya mchezo wa jana

Wanaomzushia wanamuogopa, kwani wanajua uwezo wake hivyo wanajaribu kuwavuruga Wanamsimbazi

Ajib amelelewa Simba, kuondoka mwaka 2017 kulitokana na changamoto ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Kurejea kwake ni kama amerudi nyumbani, na sasa ameimarika zaidi yuko tayari kupigania nafasi kwenye kikosi cha kocha Patrick Aussems

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
55m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’