Omog aongoza mazoezi ya mwisho, Simba kuivaa Green Worriors leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Dec 2017
Omog aongoza mazoezi ya mwisho, Simba kuivaa Green Worriors leo
Kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog jana aliongoza mazoezi katika uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam yakiwa ni maandalizi kwa ajili ya mchezo wa mzunguuko wa pili kombe la FA dhidi ya Green Worriors.

Baadae leo Ijumaa Simba itashuka kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi kuivaa Green Worriors.

Mchezo huo utapigwa saa moja jioni.

Katika mazoezi ya jana Omog alikuwa akiwasisitiza wachezaji wake suala la umakini na kufanya mambo kwa uhakika.

Simba ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo iliyowapa tiketi ya kushiriki michuano ya Kimataifa msimu uliopita.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’