Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo
Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Taifa, ambao utatumika kwenye mchezo huo kesho
Uongozi wa Simba umewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho kuiunga mkono timu yao katika mchezo huo muhimu
ADVERTISE HERE