Kampuni ya Vodacom na Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana walisaini mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya udhamini wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Mkataba huo unathamani ya shilingi bilioni 9 ambapo kila mwaka kampuni hiyo ya Mawasiliano ya simu itatoa Tsh Bilioni tatu
Sasa ni rasmi Ligi Kuu imerudi kuwa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa kipindi cha miaka mitatu
ADVERTISE HERE