Uongozi wa Simba umesema tiketi za karatasi zimeanza kuuzwa leo ambapo umewataka mashabiki kuwahi kununua tiketi ili kuepuka usumbufu siku ya mchezo
Zoezi la uuzwaji wa tiketi lilianza juzi kwa wale wenye kadi za Selcom
Tiketi za karatasi pia zinapatikana kwa Mawakala wa Selcom
ADVERTISE HERE