Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kinaendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo
Mchezo huo utapigwa Jumapili August 25, kwenye dimba la Taifa kuanzia saa 10 jioni
Mabingwa hao wa nchi wanajifua kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam



ADVERTISE HERE