Manula yuko 'fit' kurejea langoni Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Aug 2019
Manula yuko 'fit' kurejea langoni Jumapili

Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula amepona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua na juzi alianza mazoezi ya kikosi cha kwanza

Manula alipata majeraha akiwa kambini nchini Afrika Kusini, majeraha ambayo yalimfanya akose mechi za Stars michuano ya CHAN dhidhi ya Kenya

Daktari wa Simba Yassin Gembe amesema mlinda lango huo pamoja na kiungo Ibrahim Ajib wako 'fit' hivyo ni uamuzi wa benchi la ufundi kuwatumia au kutowatumia mchezo wa Jumapili dhidi ya UD Songo

Kurejea kwa Manula kunafanya ushindani eneo la golikipa uzidi 'kunoga' kwani Beno Kakolanya ameonyesha uwezo wa hali ya juu katika michezo aliyoitumikia Simba wakati Manula akiwa mgonjwa

Je Jumapili Simba iendelee na Kakolanya au imrejesha Manula langoni? hilo ni swali ambalo majibu yatatolewa na kocha Patrick Aussems Jumapili siku ya mchezo dhidi ya UD Songo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’