Kiungo Haruna Niyonzima leo ameanza mazoezi mepesi na kikosi cha Simba baada ya kuwa nje kwa wiki moja kutokana na majeruhi.
Licha ya kurudi mapema kutoka kwao Rwanda kushughulikia matatizo ya kifamilia, Niyonzima alishindwa kujiunga na wenzake kutokana na majeruhi hayo.
Niyonzima huenda akaukosa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Green Worriors kesho Ijumaa.

ADVERTISE HERE