Mabingwa watetezi Simba kesho wanashuka kwenye dimba la Uhuru kuivaa timu ya maafande, Green Worriors kwenye mchezo wa mzunguuko wa pili kombe la FA.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Chamazi kuanzia saa moja jioni.
Kocha wa Simba Joseph Omog amesema anatambua mchezo huo utakuwa na upinzani mkali kwa kuwa wapinzani wao watashuka dimbani wakiwa wanashauku ya kupata ushindi dhidi ya mabingwa watetezi.
Jana jioni kocha Omog aliongoza mazoezi ya jioni ya kikosi cha Simba katika viwanja vya Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam.

ADVERTISE HERE