Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ametambulishwa rasmi katika klabu yake mpya ya Itthad inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri
Mshambuliaji huyo wa Kimataifa kutoka Uganda, amekabidhiwa jezi namba 19
Kila la kheri mwamba..!
ADVERTISE HERE