Hatimaye Nduda arejea dimbani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
21 Dec 2017
Hatimaye Nduda arejea dimbani
Kipa wa Simba, Said Mohammed ‘Nduda’ aliyesajiliwa akitokea Mtibwa Sugar na kushindwa kuidakia timu hiyo hata mechi moja ya Ligi Kuu Bara, amerudi baada ya kupona jeraha lake la goti.

Nduda aliumia katika mazoezi ya kujianda na mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya watani zao Yanga wakiwa visiwani Zanzibar, maumivu yaliyomsababishia kwenda India kufanyia upasuaji. Kwa sasa amerudi mazoezini.

Kipa huyo aliyewahi kuzidakia Majimaji na Yanga, alianza mazoezi mepesi ya Gym tangu Jumatatu akisimamiwa na Daktari wa timu hiyo, Yassin Gembe.

“Nashukuru Mungu naendelea vizuri na nimeanza mazoezi maalumu kabla ya kufanya vipimo tena ili kuanza mazoezi ya mpira uwanjani,” alisema.

“Kwa jinsi ambavyo naendelea na imani kubwa kuwa si muda mrefu nitarudi uwanjani kwa ajili ya kuitumikia timu yangu ambayo sijaichezea hata mechi moja ya ligi tangu walivyonisajili.”
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE →