Simba hakuna kulala, yaiandalia 'dozi' UD Songo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Aug 2019
Simba hakuna kulala, yaiandalia 'dozi' UD Songo

Baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Azam Fc jana na kufanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa msimu wa tatu mfululizo, kikosi cha Simba leo kimeendelea na maandalizi kujiandaa na mchezo dhidi ya UD Songo

Jumapili August 25 mabingwa hao wa nchi watakuwa na kibarua cha kusaka nafasi ya kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa wakihitaji ushindi wa aina yoyote dhidi ya UD Songo nyumbani

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amepania kufanya vizuri zaidi kwenye michuano ya msimu huu kuliko uliopita ambao Simba ilitolewa hatua ya robo fainali

Aussems amesema lengo la kwanza ni kuhakikisha wanatinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
9h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
9h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
12h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’