Manara kuzungumzia hatma yake Simba Jumatatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Aug 2019
Manara kuzungumzia hatma yake Simba Jumatatu

Mkuu wa Idara ya Habari ya klabu ya Simba Haji Manara amesema amekuwa akiulizwa maswali mengi na wadau mbalimbali wa soka nchini kufuatia taarifa kuwa nafasi yake imepata mtu mwingine

Manara amesema kesho Jumatatu atazungumza na waandishi wa habari

"Waandishi wanauliza, Instagram swali ni hilo hilo, Magroup ya WhatsApp ndio usiseme. Fanyeni subira,Jumatatu nitaongea na waandishi inshallah ,baada ya kesho (leo) kushauriana na familia yangu," aliandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Inaelezwa Ofisa mpya wa habari wa klabu ya Simba ni Gift Macha huku taarifa za awali zikibainisha kuwa Manara atapewa majukumu mengine ndani ya kitengo cha habari

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’