Tayari Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ametoa ufafanuzi juu ya usajili wa Asante Kwasi kutoka Lipuli FC.
Simba iko mbioni kumalizana na Lipuli kuhusu mchezaji huyo.
Hata hivyo Poppe amesema Simba itaacha mchezaji mmoja tu si watatu kama ilivyoelezwa awali.
Methodi Mwanjali ndiye aliyeachwa huku Laudirt Mavugo na Nicholas Gyan wakinusurika la panga la Simba kwenye dakika za majeruhi.
Kwa kauli hiyo ya Poppe ina maana Simba italazimika kuachana na winga kutoka msumbiji Domingoz kwani ili kumjumuisha kwenye kikosi cha Simba lazima mchezaji mmoja wa Kimataifa aachwe.

ADVERTISE HERE