Simba imekabidhiwa Ngao ya Jamii baada ya kuifumua Azam Fc maao 4-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa
Huu ni mwaka wa tatu mfululizo Ngao hiyo imeendelea kuweka makazi Msimbazi
Hakuna shaka, taji la ligi kuu nalo liko njiani kuelekea Msimbazi kwa msimu wa tatu mfululizo...!
ADVERTISE HERE