Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, saa moja usiku katika uwanja wa Taifa
Simba, mabingwa Ngao ya Jamii mara mbili mfululizo, wamepania kushinda mchezo huo ili kutwaa taji hilo kwa msimu wa tatu

ADVERTISE HERE