Simba vs Azam 'hatumwi mtoto dukani'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Aug 2019
Simba vs Azam 'hatumwi mtoto dukani'

Msimu uliopita mshambuliaji kinara wa mabao kwenye kikosi cha Simba Meddie Kagere alifunga Azam Fc mabao mawili kwenye mchezo wa duru yakwanza wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Katika mchezo huo nahodha John Bocco nae aliwafunga waaajiri wake wa zamani akiisaidia Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1

Kesho washambuliaji hao watakiongoza kikosi cha Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii

Ni mchezo wa kuashiria ufunguzi wa msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Mchezo huo hautarajiwi kuwa mwepesi kutokana na uimara wa vikosi vyote

Azam Fc inayoshiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika imefanya usajili mkubwa

Ni moja ya timu za kuangaliwa sana msimu huu

Hata hivyo Simba ndio baba wa soka la Tanzania kwa sasa, bado ina nafasi kubwa zaidi ya kushinda mchezo huo kutokana na ubora wa kikosi chake

Aussems amesema atautumia mchezo huo kuwa sehemu ya maandalizi ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo

Mshindi wa mchezo huo atajihakikishia kutwaa Ngao ya Jamii likiwa taji la kwanza msimu huu

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’