Leo saa tano asubuhi makocha wa vilabu vya Simba na Azam Fc watazungumza na wanahabari kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa kesho Jumamosi
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems na Etienne Ndayiragije watashiriki kwenye mkutano huo
Simba itarusha Mkutano huo 'mbashara' kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Youtube
ADVERTISE HERE