Aussems ampa tano Kakolanya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Aug 2019
Aussems ampa tano Kakolanya

Msimu huu ni dhahiri eneo la ulinzi wa lango la Simba liko salama kutokana na kuwa na walinda lango mahiri Aishi Manula na Beno Kakolanya

Manula ameanza msimu vibaya baada ya kupata majeraha akiwa na kikosi cha timu ya Taifa

Hata hivyo Kakolanya amefanya vizuri katika michezo aliyoitumikia Simba mpaka sasa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameeleza kuridhishwa na kiwango kinachoonyeshwa na Kakolanya

"Katika mechi zote alizocheza, amefanya vizuri, hivyo ni matumaini yangu kadiri siku zinavyoenda atakuwa bora zaidi na natarajia atatoa changamoto kubwa kwa Manula," amesema Aussems

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’