Hili jembe lilipaswa kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Aug 2019
Hili jembe lilipaswa kutua Simba

Mshambuliaji Chris Mugalu raia wa DR Congo ambaye anachezea Power Dynamo ya Zambia, alishindwa kutua Simba baada ya mabingwa hao wa Tanzania Bara kuchelewa kukamilisha usajili wake

Inaelezwa Mugalu ndiye aliyekuwa akitarajiwa kuchukua nafasi ya Okwi akiwa mcheza wa 10 wa kigeni

Mmoja wa viongozi wa Simba amedokeza kuwa usajili wake ulikwama baada ya kuchelelewa dirisha la usajili wa michuano ya CAF

Inaelezwa Simba iliwatumia Patrick Phiri aliyewahi kuwa kocha wa Simba na kiungo Clatous Chama kumshawishi mshambuliaji huyo ambaye pia alikuwa akiwaniwa na ZESCO United

Kama Simba itatinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa, Mugalu huenda akasajiliwa ili kuongeza nguvu safu ya ushambuliaji ya kikosi cha Aussems

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’