Kichuya hakijaeleweka Misri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Aug 2019
Kichuya hakijaeleweka Misri

Winga wa zamani wa Simba Shiza Kichuya inaelezwa kuwa bado yuko nchini akisubiri hatma yake ya kurejea nchini Misri

Kichuya aliyeuzwa na Simba Misri msimu uliopita akiingizia klabu hiyo zaidi ya Milioni 200, alirejea nchini baada ya mkataba wake wa miezi sita klabu ya ENPPI kumalizika

Kichuya alisajiliwa na Pharco Fc inayoshirki ligi daraja la kwanza huko Misri na kutolewa kwa mkopo ENPPI

Wakati ikielezwa mkataba wake ulikuwa na miaka miwili, mwenyewe amesema alisaini mkataba wa miezi sita

Tangu aliporejea kujiunga na timu ya Taifa kabla ya michuano ya Afcon na baadae kuenguliwa kwenye kikosi cha Stars, Kichuya hakurudi tena Misri

Kichuya amesema timu kadhaa zinamuwania nje ya nchi

Winga huyo mahiri yuko hatarini kukaa mpaka dirisha dogo bila timu baada ya dirisha la usajili hapa Tanania kufungwa huku akiwa bado hajapata timu huko nje

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
31m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’