Mmemsikia Aussems? Simba inataka ubingwa wa Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Aug 2019
Mmemsikia Aussems? Simba inataka ubingwa wa Afrika

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema klabu hiyo imejiwekea malengo makubwa zaidi msimu huu kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Baada ya kutolewa hatua ya robo fainali mwaka jana, Aussems amesema mwaka huu wamejipanga kuchuana na vigogo wa Afrika kuwania ubingwa

"Msimu uliopita tulijiwekea malengo ya kufika hatua ya makundi, lakini tukafanikiwa kufika mpaka robo fainali," alisema Mbelgiji huyo aliyejipambanua kwa soka lake la kuvutia

"Msimu huu tunataka tufanye vizuri zaidi, ikiwezekana tutwae ubingwa"

Baada ya kupata suluhu kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa msimu huu dhidi ya UD Songo, Aussems amesema wana matumaini makubwa watashinda mchezo wa Dar na kusonga mbele raundi ya kwanza

Kama Simba itatinga raundi ya kwanza, itakuwa imebakisha hatua moja tu kutinga hatua ya makundi

Kwenye raundi ya kwanza itacheza na mshindi wa mchezo kati ya Platinum Fc ya Zimbabwe dhidi ya Nyasa Bullet ya Malawi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’