Kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog ameanza kufikiri namna timu yake itatwaa ubingwa mapema msimu huu.
Omog amewataka wachezaji wahakikishe wanapata matokeo ya ushindi kwenye kila mchezo ili kuhakikisha wanajikita kileleni kwa tofauti ya alama nyingi.
Omog anaamini Simba ikitumia vyema matokeo ya kusuasua ya Yanga na timu nyingine, itafanikiwa kutwaa ubingwa mapema.
Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 11 sawa na Mtibwa Sugar na Azam FC lakini Simba iko kileleni kutokana na kuwa na uwiano mzuri wa mabao (+11)

ADVERTISE HERE